Huyu Hapa Beki Ghali zaidi Tanzania
Kwenye mkataba mpya aliosaini nahodha wa Yanga SC, Bakari Mwamnyeto, atalipwa :

300 Million Signing fee.
15 Million salary per month.

Katika mkataba mpya wa miaka miwili, Nondo atalipwa jumla ya Tsh 660 Milioni :

Tsh 15m × 24 = 360 million
Tsh 300 million signing fee.

Total = 660 Million per two years.

Remember :

Kwenye mkataba ulioisha Nondo alikuwa akilipwa Tsh (13) Million kwa mwezi.

Kwa Wachezaji wa Ndani huyu ndio Beki anayelipwa mkwanja mrefu zaidi ya wote0/Post a Comment/Comments