Izzo Bizness – Mr Xmas

 


Izzo business ni msanii mkuwa sana kutoka Mkoa wa Mbeya. Kashawahi toa ngoma nyingi sana na kubamba kwenye tasnia ya bongo freva na kuweza kusikika nchi mbali mbali kama kenya, uganda, rwanda, burundi, congo, malawi, zambia naq nchi zingine nyingi. Moja ya nyimbo zake ni kama ridhiwani.

jina la wimbo huu ni Mr XMAS. Tambua Izzo buniness hakutoa tu huu wimbo bbila sababau bali alikuwa akisherekea siku yake ya kuzaliwa ambayo imegongana na siku hiyo ya skukuu yaani nikimaanisha alizariwa siku ya Chrismass.
0/Post a Comment/Comments