Mo Music – Skendo

 

 

Download wimbo huu mpya kutoka kw msanii chipukizi aitwaye Mo music. Wimbo huu unakwenda kwa jina la Skendo. Huyu nimsanii kutoka Tanzania na ni msanii anaye iwakilisha East africa.
Kumbuka unaweza share wimbo kuu kwa ndugu na jamaa bure kabisa nao waweze pata na kuburudika na mziki mzuri kutoka kwenye tasnia ya bongo flevaa.

Wimbo huu wa skendo umetengenezwa na prodjuza mkali aitwaye lollipop.
Sasa pakua nyimbo zote kali kupitia blog hii iitwayo nyimbo zote.
0/Post a Comment/Comments