Young Killer Msodoki Ft Mzee Yusuph – OH MY

 


Kwa mala nyingine tena msanii young killer katoa goma lingine tena  akimshirikisha Mzee yusufu.. Msanii huyu ni msanii ambaye anaongoza katika tasnia ya hip hop yaani ni msanii mdogo ki umri na nimsanii wa kwanza kwa hip hop nchini Tanzania. Goma lenyewe linaitwa OH MY.
Pakua hapa. Kumbuka nyimbo zote zinapatikana kweye blog hii ya nyimbozote.
0/Post a Comment/Comments